SNOWHITE naomba NIKUONE

mimi si Mngoni lakini naelewa vyote mlivyoviandika....kweli Bantu iko dugu moja!
 
Jamani angalieni isijekuwa watu wanapanga kulipua mahali na mabomu ya kujitoa muhanga!!
 
Jamani angalieni isijekuwa watu wanapanga kulipua mahali na mabomu ya kujitoa muhanga!!

Hata mi nahisi hivo ukizingatia kilugha chenyewe kinachoongelewa hapa kimekaa kikandahar.
 
kumfuleni kukita kiki? magono haga kuna mifuleni kweli? mabomba goha haga ufuna kuhamba kumfuleni? linda hoti nimkota snowhite ngati agani manji ga kumfuleni, ne nihamba he lelu

Duh! hadi wewe unanitukana?
 
yewuuuuuuuuuuuuuuuu, sisi ndo wangoni. umetutamania? lol!

dah......nimewatamania kwa kweli wala nisivunge! Natamani hata nipate kamusi niwe nagelezea lol! (mie mroho sana wa hizi lugha za makabila wajameni)!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…