S sayicom Member Joined Jul 2, 2011 Posts 66 Reaction score 1 Dec 28, 2012 #1 Habari wakuu! Kuna hii program inaitwa SNIFF sijui kazi yake ni ipi hasa mwenye kujua naomba anijuze!! Shukrani
Habari wakuu! Kuna hii program inaitwa SNIFF sijui kazi yake ni ipi hasa mwenye kujua naomba anijuze!! Shukrani
Kurunzi Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 10,175 Reaction score 11,572 Dec 28, 2012 #2 Kirusi kinaficha mafiles hakifai kabisa kuna mtu alikiweka hapa miaka hiyo du kilinicost sana kilimeza mafile yangu yote usijaribu kukifungua.
Kirusi kinaficha mafiles hakifai kabisa kuna mtu alikiweka hapa miaka hiyo du kilinicost sana kilimeza mafile yangu yote usijaribu kukifungua.
bornagain JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,383 Reaction score 1,360 Dec 28, 2012 #3 Ni program kwa ajili ya kutambua IP address ya kitu chochote kinachokonect kwenye network