Sneaker mpya ya kijanja inataka mvaaji

Samcezar

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
13,096
Reaction score
22,816
Size :43
Color : Golden Brown
Condition: New
Price 35,000 (Negotiable)



 
Mzee baba hiyo meza, hilo jagi, na mtwango kwa pamoja!!!! dah inaonekana hata kuacha pichu mezani ni poa tu!!!!
 
Maisha haya aisee,
kuna jamaa yangu alinunuaga viatu vyake hivi hivi mkononi (kwa mtu) bei ya kutupa, a week later anapita Kariakoo akakutana navyo vimemwagwa kwa 7,000/=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…