Kuna bishost alikwenda kwa Sangoma kupata control over her hubby, aliambiwa apeleke mifupa na chakula jamaa alichobakisha kwenye sahani.
Sangoma alivifanyia kazi, baada ya hapo aliwekewa paka kwenye sahani, paka alibakiza bibie alimalizia kula.
Baada ya hapo, mume alikuwa kama paka, anakaa na mke wake jikoni akifukuzwa anakimbia baasda ya muda anarudi tena.
Hizi ni mambo za Mozambique, Ntwara mpaka Zimbabwe