Smile please for a snapshot

Enhe! Hiyo tulipiga uwanja ndege wa Singapore, mimi huyo wa pili kushoto... ah sio... wa kwanza kulia, na wa kwanza kushoto ni dada... ah nimekosea ni... ni... ni shemeji mke wa kaka. wa pili kulia ni nani vileee! aya... nimechanganya... ngoja nianze tena... ni sheeeedah!
 
nahisi michango inayofuata hapa itaibua mtafaruku muda si mrefu..Napita shaaaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…