Nia yetu tumalize mzigo ili tuagize mwingine ni heri kupata faida ndogo mzigo uishe kuliko kutegemea faida kubwa na mzigo bado unao.
Sasa tunauza piece moja kwa bei ya jumla yaani Tsh 35,000 tu kwa piece
Haiwezekani boss ili uitumie kama simu unahitaji kuconnect na applicationa ambayo itakua kwenye simu yako kisha unawasha Bluetooth ya simu na saa hapo utaweza kuitumia saa kama kisaidizi cha simu yako kwa pods haitawezekana boss