Smartwatch/Fitness Tracker elfu 50 tu.

Smartwatch/Fitness Tracker elfu 50 tu.

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
31,322
Reaction score
89,496
Habari.
Nauza smartwatch/fitness tracker mpya sealed yenye kufanya yafuatayo:

-Inapima mapigo ya moyo (heart rate monitor in bpm).
-Ina monitor muda uliolala (sleep time monitor)
-Ina hesabia hatua na distance uliotembea (pedometer/step counter)
-Calories burnt burnt per day.
-Notification reminder endapo ikiingia sms, call au alarm kwenye simu yako.
-Pia ni water resistant IP67.

Ina support katika Android na iOS.

Bei Tsh elfu 50 tu.

Nipo Ubungo, call/sms/whatsapp 0758095750

DSM Delivery weekends only ila kwa kuongeza delivery fee tsh 5000.

Mikanda ni black. Ukitaka mkanda mwingine rangi tofauti kila mkanda tsh elfu 5.

Mikoani tutaowasiliana jinsi ya kukutumia.
17974790491342691559.jpg
-1954992486251653374.jpg
-2106156638-1357709143.jpg
20180529_120332.jpg
 
Juzi nilimuona JIWE kavaa hiko kidude!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom