Smartphone zinadumaza mapenzi

Smartphone zinadumaza mapenzi

young super

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
257
Reaction score
315
Kuna kale kamfumo ka kutumia picha za uchi hii kwa kiasi kikubwa imepoteza thamani ya tendo la ndoa kwa vijana ambao hamjaoa/kuolewa.

Sijawahi jua kametoka wapi alafu haka kamchezo.
 
Utandawazi ulipoingia duniani, na mawasiliano yakachukua nafasi yake tulifurahi sana. Lakini kilichopo nyuma ya pazia la utandawazi kwa maadili yetu si kitu chema kabisa.

Ukishindwa kujisimamia mwenyewe usitarajie kusimamiwa kikamilifu. Zaidi ya hapo utahalibikiwa zaidi.

Smartphone zimeleta madhara sana katika mapenzi na maadili katika jamii
 
KWELI MKUUU
 
kuna kale kamfumo ka kutumia picha za uc** hii kwa kiasi kikubwa imepoteza thaman ya tendo la ndoa kwa vijana ambao hamjaoa/kuolewa,,,

sijawahi jua kametoka wapi afu haka kamchezo
Basi hizi smartphone zimesaidia maana tendo la ndoa ni kwa ajili ya Wana ndoa tu Na sio wengine.
 
Back
Top Bottom