mwarenga amani Member Joined Dec 22, 2014 Posts 27 Reaction score 4 May 7, 2015 #1 salaam zenu,et naweza pata smart phone gan mpya kwa 120,000
Munamuge JF-Expert Member Joined Sep 22, 2014 Posts 903 Reaction score 896 May 8, 2015 #2 mwarenga amani said: naweza pata smart phone gan mpya kwa 120,000 Click to expand... Ongeza 30,000/= ujipatie Lumia 530 kwenye maduka ya Midcom
mwarenga amani said: naweza pata smart phone gan mpya kwa 120,000 Click to expand... Ongeza 30,000/= ujipatie Lumia 530 kwenye maduka ya Midcom
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 May 8, 2015 #3 Munamuge said: Ongeza 30,000/= ujipatie Lumia 530 kwenye maduka ya Midcom Click to expand... hivi Lumia ina camera 2?
Munamuge said: Ongeza 30,000/= ujipatie Lumia 530 kwenye maduka ya Midcom Click to expand... hivi Lumia ina camera 2?
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,062 Reaction score 43,487 May 8, 2015 #4 Zamaulid said: hivi Lumia ina camera 2? Click to expand... moja tu ila nzuri kiasi na pia haina flash. ipo lumia 430 yenyewe inazo mbili na 1gb ram
Zamaulid said: hivi Lumia ina camera 2? Click to expand... moja tu ila nzuri kiasi na pia haina flash. ipo lumia 430 yenyewe inazo mbili na 1gb ram
K kemaha Senior Member Joined Dec 29, 2012 Posts 147 Reaction score 119 May 8, 2015 #5 Lumia 430 INA capasty gan kwenye camera.=Chief-Mkwawa;12673877]moja tu ila nzuri kiasi na pia haina flash. ipo lumia 430 yenyewe inazo mbili na 1gb ram[/QUOTE]
Lumia 430 INA capasty gan kwenye camera.=Chief-Mkwawa;12673877]moja tu ila nzuri kiasi na pia haina flash. ipo lumia 430 yenyewe inazo mbili na 1gb ram[/QUOTE]
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 May 8, 2015 #6 Chief-Mkwawa said: moja tu ila nzuri kiasi na pia haina flash. ipo lumia 430 yenyewe inazo mbili na 1gb ram Click to expand... Ahsante bwana Chief-Mkwawa nadhani nimeipenda hiyo 430 maana itaniwezesha kuskype na kumwona ninaye Skype naye!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Chief-Mkwawa said: moja tu ila nzuri kiasi na pia haina flash. ipo lumia 430 yenyewe inazo mbili na 1gb ram Click to expand... Ahsante bwana Chief-Mkwawa nadhani nimeipenda hiyo 430 maana itaniwezesha kuskype na kumwona ninaye Skype naye!!