Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Status
Not open for further replies.
Kaka naomba mtu akinichokoza niwe nakutagg unanisaida huwa wananionea sana humu
 
Hii thread mpaka mwisho wake nathani itatengeneza maadui wengi sana


Hapana Mkuu ila kusema Ukweli ni Kwamba Watu wanadhani Maisha ya Mtandaoni ni tofauti na Maisha ya Uraiani.. Yaani Mtu Yupo Radhi kuharibu Mahusiano yake ya Uraiani kwa kudhani kuwa Huku Kuna Malaika kupitia Comment zao na Ushauri wanaokuwa wanautoa.. Ila Katika hali halisi Huyu huyu Unayemuona Bora ila kumbe ni Nyoka kuliko Huyo Uliemkimbia na Kumdhihaki kuwa si chochote.
 
Guys, hakuna asiye na past, hakuna aliyetembea na mwanaume/mwanamke mmoja tu, hakuna aliye perfect.

Yanayotokea jf ni sawa kabisa na yanayotokea uraiani, watu wanaachana na kurudiana, watu wanachukuliana wake/waume, in fact kila mtu ana uzoefu mbaya kuhusu mahusiano.

Tuweni wastaarabu japo kiduchu tuwastiri wenzetu. Naamini wote tumejifunza kitu hapa, exposing your identity is risky, hasa kwa watu msiofahamiana ni very risky.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…