nimepata makaka wa hiari wawili via huu uzi leo,Kwahiyo una kaka zako humu?!
nimepata makaka wa hiari wawili via huu uzi leo,walikuwa wananifundisha jinsi ya kutukana
hahaha hako kapepo kako leo katoke "OOOUUT"Naona mmehamia Pm ngoja namie nikanyonyeshe sasa
Ohooo Maxmelon anakuwa baba mkwe soon
We unanitengamaseratiii
kanyonyeshe mamii..Naona mmehamia Pm ngoja namie nikanyonyeshe sasa
ni kweli kamood kametendewa hakiWw si umesema umeamka na mood
tayariWe unanitenga
Mwenzio alikuudhi ucku?!ni kweli kamood kametendewa haki
AmeeenHallelujah
Ahahhah umemuona eenhSakayo anataka kuliamsha dude
Nokia ni mchocheziIle tight yake itachanika
geni sio vizuri ujue nipo pm ujue
nilikosa cha arusha, alosto ilinizidi...Mwenzio alikuudhi ucku?!
Tupo bana tunamsubili geni akujeNaona mmehamia Pm ngoja namie nikanyonyeshe sasa
Ulikuwa wapi lakiniBado kunapikwa kumbe