Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Status
Not open for further replies.
we dada hebu kunywa maji kwanza shusha pumzi
Ghkaaaa!!!!!
Kwahiyo ile ya 2015 na yenyewe nilikuwa kama hivi hivi

Cc dark angel
Ile ilikuwa hatari shost.
Ya 2017 ndiyo Hatari nyingine.
Kuna udhaifu sehemu Fulani haiwezekani.
Halafu anavyojua kupamba unaweza ukasema ni wanaume wa maana. Anapamba huyo hatari hadi makande yanaonekana pilao kuku.
 
Dah! Kali ya Jf hii
hili sio kaburi, ni mgodi wa makinikia
‍♂️
‍♂️
‍♂️
‍♂️
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…