Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Status
Not open for further replies.
Mbona hii uliikopi na kumtumia tena mahondaw ila mtoto huyu jana nilimuonya hasikii.
 
Si huyo Allepo analeta habari za hr

Hahaha samahani shoziii nimekumbuka comment moja bana(naona aibu kuandika) nilikuwa kwenye panel moja na staff wenzangu nikajikuta nacheka kicheko cha ghafla... waliniangalia mpaka nikahisi mkojo na kijambo vinataka kutoka kwa wakati mmoja
 
Sawa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…