Smart watch zipo sokoni kwa bei poa

Duniani kuna mambo. Saa tu laki 4,wengine tunahangaika hata kwa mwaka hiyo laki 4 ni issue. Ngoja mengine tuwe tunayasikia tu redioni na kuona kwenye tv.
 
Duka liko wapi la hizi watch mkuu?
 
mkuu tuweekee video tuone zinavofanya kazi kwa ushawish zaid
NB.n ombi langu tu......
 
Jamani muuzaji ndio anajua gharama alizotumia hadi kufika dukani, na faida kiasi gani apate. Sasa mkianza kukandia bei kubwa kwa nini usinunue mwenyewe huko kwenye eBay au Alibaba au Amazon? Mbona tunakuwa watu wa kukatishana tamaa. Kama una uhitaji nunua la huna kaa kimya kwani umelazimishwa kununua? BTW sio kila kitu lazima kila mtu awe nacho, vingine wawachieni wenye uhitaji na fedha zao wanunue
 
Biashara ni kupata faida. ..so kama wewe unajua pa kuzipata kwa bei chee. ..wewe sio mteja aliyekusudiwa.

Mbona kuna unavyonunua wenzio wanapewa bure
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…