MKUU keaushauri wangu mm nenda kwenye workshop za Samsung kama upo dar itakuwa powa sana.
coz hata mm nilikuwa na TV ya flat sanyo inatatizo kama lako. mm ilikuwa unaangalia gafla inajizima unakaakidogo inajiwasha.
some times ukiwasha inatoa tu sauti ukikaa kidogo ndio inaanza kutoa picha .
jinsi mda ulivyokuwa unazidi ndio ilivyokuwa inazidi kuharibika.
mpaka ikafikia kipindi ikafa kabisaaa no picha no sound.
kwaushauri wangu MKUU achakuitumia ipeleke kwa FUNDI co ukiendelea kuitumia unaongeza ukubwa wa tatizo.