K Kinyarugina Member Joined May 12, 2022 Posts 46 Reaction score 68 Sep 28, 2023 #1 Nampango wa kununua Smart TV kampuni ya ALTOP Saize 32 huku inauzwa 270,000/= kwa aliye wahi itumia...vipi unashauri ni inunue?
Nampango wa kununua Smart TV kampuni ya ALTOP Saize 32 huku inauzwa 270,000/= kwa aliye wahi itumia...vipi unashauri ni inunue?
Jephta2003 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2008 Posts 6,731 Reaction score 6,626 Sep 28, 2023 #2 Kinyarugina said: Nampango wa kununua Smart TV kampuni ya ALTOP Saize 32 huku inauzwa 270,000/= kwa aliye wahi itumia...vipi unashauri ni inunue? Click to expand... Usinunue
Kinyarugina said: Nampango wa kununua Smart TV kampuni ya ALTOP Saize 32 huku inauzwa 270,000/= kwa aliye wahi itumia...vipi unashauri ni inunue? Click to expand... Usinunue
K Kinyarugina Member Joined May 12, 2022 Posts 46 Reaction score 68 Sep 28, 2023 Thread starter #3 Jephta2003 said: Usinunue Click to expand... Kwann
jay-millions JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 4,589 Reaction score 11,844 Sep 28, 2023 #4 Chinese brand, value for money nunua itafaa kwa matumizi ya nyumbani na kama bajeti ni hiyo ila kama unafikisha 300k unaweza pata lg, samsung, skyworth, tcl, evvol, 32' na hiyo altop hata 250k wanakuuzia
Chinese brand, value for money nunua itafaa kwa matumizi ya nyumbani na kama bajeti ni hiyo ila kama unafikisha 300k unaweza pata lg, samsung, skyworth, tcl, evvol, 32' na hiyo altop hata 250k wanakuuzia