Smart phone kwa 100,000

Smart phone kwa 100,000

ninayo huawei 530 ni mpya bado niko gomz la mboto chuo cha kampala.
 
haina tatizo huku cm yeyote unayohitaji unaipata rubii hapa mjini sio kuuza cm hadi iwe na tatizo
 
cm ikiwa kwa mkono inakuwa used lakin hii bado ni mpya ina kama mwezi ntumie no yako inbobo nkutumie pic
 
me natumia samsung galaxy s2 nilinunua sh 80 hapo vp
 
kuna lumia 630 naiuza 150 pia kuna samsung galaxy s2 naibana 230 njoo tuelewane
 
bahati mbaya siuzagi vitu chakavu juu kuna namba yangu nkutumie pic whatsap upya miezi 3
 
kuna itellsmartphone hapa inaitajika laki na 10.
 
kuna HTC
mpyA mwezi na wiki ipo kwa laki na 20 tuwasiliane kwa +255715673024 nakurushia picha whatsapp
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom