sleeping with a broken heart

kidole007

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
3,094
Reaction score
1,878
Baaasiii
kipindi hiko niko single...
kuna aina nyingi za kuwa single
single and searching
single and ready to mingle
single and f----!ng
single and forever single etc

kidole nilikuwa single and f----!ng

matatizo ya kuwa single and f----!ng ni pamoja na: huwezi pata f---- mate kwa mda unaoutaka yani unaweza book ukakuta keshabookiwa na wenye mali,

baasi siku hyo level of testosterone zilikuwa high ki noma yani hata nikijikwaa napata boner

pigia simu fff mate wote wakanitolea nje
kila mmoja alitoa sabab yake
basi nikaona isiwe tabu ngoja nijongee candyshop nikajichukulie candy hta wa 50 thousands (part time),
something is better than nothing

wakati natembea mdogo mdogo kuelekea candyshop nikapokea sms kutoka kwa my longtime ff mate kwa jina miss brown

'kidole its my birthday! Siamin umesahau'

nikazuga (tho nilisahau) its only 21:00 siku inasha 00:00 how cud i forget your bday
tukachat chat bebe akanambia she only wants me as a present for her bday,
baasi hapo hapo nikapata hard on kwa ile sentensi tu,

safari ya candyshop ikaisha hapo hapo,
why buy a milk when u have a cow.

nikanunua durex(kipindi hicho feki hazijaingia) safari kwa miss brown

nimefika around 22:40 kutoka kariakoo hadi tegeta

kuingia tu sijauliza cake wala party nikamrukia kisses za kutosha
baada ya muda kidogo hata gear sijaingiza naskia hodii

kufungua wameingia mashoga zake na ma champaigne, na cakes, ma vodka eti suprize

kunywaaa yalitoka mawazo mengi mara twende club mara twende wapi mwisho tukaamua ku house party

kuja kutaharuki 01:00 am
wale mashoti walikuwa wanne, watatu wakasepa mmoja akabaki eti anasleep over

walahi nilitamani sijui niwabake wote
ikabidi mwanaume nisepe,

kwenda candyshop siwezi(siendagi candyshop after midnite)

nikajikongoja gheto taaratibu kulala na maumivu ya moyo na ya mgegedo.
 
si uoe uwe na mkeo? mpaka lini dhambi hii?
 
hahaha....nimeamini hata mbuzi hapendi kufungwa kamba akila majani...
 
mapenzi sometimes heri mkutane wenye nyege mshindo au wasio na ham kabisa kuliko kuwa opposite.
 
ooooh poor boy u ar a looser try 2 av ur own gal.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…