M Mkeshaji JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 4,258 Reaction score 1,418 Jan 31, 2012 #1 Hebu angalia hii foto halafu tafakari. Nani anastahili nini?
K Kana Amuchi Member Joined Jul 21, 2009 Posts 70 Reaction score 15 Jan 31, 2012 #2 rekebisha: dr akiwa call ni masaa 24 waakti Mbunge anakuwa anasinzia mjengoni maximum amsaa 8 tu baada ya hapo wanaenda chakonichako kujivinjari na wanafunzii na wasanii wa movie za bongo.
rekebisha: dr akiwa call ni masaa 24 waakti Mbunge anakuwa anasinzia mjengoni maximum amsaa 8 tu baada ya hapo wanaenda chakonichako kujivinjari na wanafunzii na wasanii wa movie za bongo.
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,081 Reaction score 75,445 Jan 31, 2012 #3 Hongera JK hongera Pinda.