Dr.slaa wewe ni mkweli siku zote hilo halina ubishi na mungu akulinde na akupe maisha marefu uendelee kuwakosoa hawa chekechea wa ccm.
Dr. Ninaombi moja kwako,
Nina wasiwasi kuna mchezo chafu utachezwa kwenye chaguzi za kata na wapinzani wako ccm ili wapate pa kutokea baada ya lwakataregate kufail.Na huenda kweli msishinde hata kata moja kama hamtakaa na kubaini ni mpango gani ccm wamepanga.Kwa kuwasaidia nendeni ktk vitongoji vya singida mlikoshindwa mkajifunze kwani mbinu iliyotumika ndiyo hiyohiyo itatumika kwa uchaguzi wa madiwani 25.CCM wamejipanga kuwaduwaza ndiyo maana hawahangaiki na majukwaa wana lao la kuwatoa .chunguza mjomba utabaini
Dr. Slaa ndiye mnafiki kwasababu anatuambia anaweza kuliongoza taifa letu lenye watu zaidi ya milioni arobaini wakati ameshindwa kuiongoza familia yake isiyozidi watu kumi.
Dr. Slaa ndiye mnafiki kwasababu anatuambia anaweza kuliongoza taifa letu lenye watu zaidi ya milioni arobaini wakati ameshindwa kuiongoza familia yake isiyozidi watu kumi.
Mkuu wivu kwa lipi?
Kitu gani kipya unachokiona kwa Mwingulu ambacho hakijawahi kuwepo hapa Duniani?
Yeye slaaa ndo mnafiki namba moja tena hadi kaniasani.
Tanzania Daima ni gazeti pendwa la udaku kama Uwazi na Kiu.
Kusaliti kanisa ni unafiki namba moja jitambue slaa.
tanzania daima ni gazeti la udaku...
Na wewe ni mdaku kama gazeti la UhuruTanzania Daima ni gazeti la UDAKU...
ukisikia takataka ndani ya akili, yako imefurika. unaendeleza udini wewe ng'ombe usiyefikiria, kanisani unajua amekuwa mnafiki kivipi wewe mnaaaa... huna akiliYeye slaaa ndo mnafiki namba moja tena hadi kaniasani.
na gazeti la uhuru ni gazeti la ze comedy!