Slaa: CCM wamechanganyikiwa

Dr slaa vijana wako mitandaoni wanakuangusha huku, badala ya kukutetea unavozidi kuumbuka jinsi ulivoshindwa kukiendesha chama wao wanatukana
 
Dr. Slaa hana jipya. Matamko kila siku cha maana anachokifanya hakionekani.

Sent from my hp EliteBook 8460p using JamiiForums

mbona mda wote mnaitaja chadema pia Dr slaa? kweli MiCCM mna akili timamu kweli? basi achen kuendelea kudai Dr wa ukwel slaa hana lolote?
 
mbona mda wote mnaitaja
chadema pia Dr slaa? kweli MiCCM mna akili timamu kweli? basi achen
kuendelea kudai Dr wa ukwel slaa hana lolote?

Mkuu huwezi kumlinganisha Dr Slaa na yule mgonjwa wa kifafa anayedondoka hovyo majukwaani na kila siku anakimbilia ulaya kwenda kubadili damu...

Huyo mgonjwa unaweza kumfananisha na mzinzi mwenzake anayefumaniwa kila siku na wake za watu, tena wake za makada wenzake... Mkuu wanakulana wenyewe kwa wenyewe...
 
kinywa cha mtu msafi hutoa maneno yenye busara siku zote,hata wenye njaa hushiba bila kula...asante Dr
 
Dr. Slaa hana jipya. Matamko kila siku cha maana anachokifanya hakionekani.

Sent from my hp EliteBook 8460p using JamiiForums

Tuweke wazi mkuu ili tukuelewe. Ni kwa upande upi au chama kipi ambako cha maana anachokifanya Dr. Slaa hakionekani?
 
Ni ajabu sana mtu mkubwa unashindwa kujenga hoja unaamua kutukana! Lakini kwa nini unaingia wivu? Au kwa sababu ya ongezeka la wananchi katika
mikutano!
Wewe unajua matusi? kama huyajui basi angalia bunge.
 
Mimi mpaka sasa sijaelewa mtu mwenye umri wa Slaa vipi alishindwa kujenga nyumba.Yani kama bila hela ya M4C mpaka leo angekuwa hana hata kibanda?

Hela yake yote ilikuwa inakwenda wapi?
 
Safi sana makamanda anikeni uozo wa magamba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…