Freeland JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 14,481 Reaction score 10,233 Oct 1, 2015 #1 wadau. Kuwatonya tu slaa amerejea mjini Dar es salaam Jana akitokea marekani. Maandalizi yanafanyika kwa umakini wiki ijayo aendelee na mashambulizi. Be first to know
wadau. Kuwatonya tu slaa amerejea mjini Dar es salaam Jana akitokea marekani. Maandalizi yanafanyika kwa umakini wiki ijayo aendelee na mashambulizi. Be first to know
A Arie power JF-Expert Member Joined Jun 29, 2015 Posts 2,552 Reaction score 1,020 Oct 1, 2015 #2 Hana jipya Dr mihogo kafulia kisiasa hadi habari zake zinaandikwa kwenye gazeti la udaku.
Julius Kaisari JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 1,176 Reaction score 682 Oct 1, 2015 #3 Hivi bado ana-impact yoyote huyu mtu? Labda aitishe conference ya kuchukua kadi rasmi ya ccm,! Hata hivyo,nadhani hii tamaa ya Dr na Mkewe imepita kipimo. Mungu atawahukumu hapa hapa,
Hivi bado ana-impact yoyote huyu mtu? Labda aitishe conference ya kuchukua kadi rasmi ya ccm,! Hata hivyo,nadhani hii tamaa ya Dr na Mkewe imepita kipimo. Mungu atawahukumu hapa hapa,
Tetty JF-Expert Member Joined Jan 6, 2012 Posts 26,355 Reaction score 21,418 Oct 1, 2015 #4 Tunamkaribisha sana.Hope amefikia HOTELINI akiendelea kula mihogo
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 57,945 Reaction score 134,012 Oct 1, 2015 #5 Amekuja na price tag yake shingoni?
mizarb JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 1,402 Reaction score 1,290 Oct 1, 2015 #6 OKW BOBAN SUNZU said: Amekuja na price tag yake shingoni? Click to expand... Hahahahaaaaa
K Kasongo JF-Expert Member Joined Jul 29, 2007 Posts 3,149 Reaction score 2,273 Oct 1, 2015 #7 Kampeni sasa zimefikia kwenye POINT OF NO RETURN.Tarehe 25 Octoba si mbali.Mungu ibariki Tanzania.
Msaranga JF-Expert Member Joined Feb 10, 2009 Posts 956 Reaction score 229 Oct 1, 2015 #8 Hana effect yoyote Dr silaa
Msaranga JF-Expert Member Joined Feb 10, 2009 Posts 956 Reaction score 229 Oct 1, 2015 #9 Gwajima kiboko yake akiongea chochote tunamwita gwajima
R rashidforeseerer JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 1,000 Reaction score 440 Oct 1, 2015 #10 Slaa ndo nani
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,915 Reaction score 30,027 Oct 1, 2015 #11 Freeland said: wadau. Kuwatonya tu slaa amerejea mjini Dar es salaam Jana akitokea marekani. Maandalizi yanafanyika kwa umakini wiki ijayo aendelee na mashambulizi. Be first to know Click to expand... Gwajima likes this comment!
Freeland said: wadau. Kuwatonya tu slaa amerejea mjini Dar es salaam Jana akitokea marekani. Maandalizi yanafanyika kwa umakini wiki ijayo aendelee na mashambulizi. Be first to know Click to expand... Gwajima likes this comment!
J JATELO1 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2011 Posts 1,230 Reaction score 304 Oct 1, 2015 #12 Freeland said: wadau. Kuwatonya tu slaa amerejea mjini Dar es salaam Jana akitokea marekani. Maandalizi yanafanyika kwa umakini wiki ijayo aendelee na mashambulizi. Be first to know Click to expand... Mkuu, Nimependa tu jinsi ulivyoignore initial yake ya Dr., kwani hakika amedhihirisha jinsi alivyo Dr. feki kwa matendo yake. Ni kweli anaitwa Slaa.
Freeland said: wadau. Kuwatonya tu slaa amerejea mjini Dar es salaam Jana akitokea marekani. Maandalizi yanafanyika kwa umakini wiki ijayo aendelee na mashambulizi. Be first to know Click to expand... Mkuu, Nimependa tu jinsi ulivyoignore initial yake ya Dr., kwani hakika amedhihirisha jinsi alivyo Dr. feki kwa matendo yake. Ni kweli anaitwa Slaa.
N nsuka JF-Expert Member Joined Nov 4, 2014 Posts 848 Reaction score 309 Oct 1, 2015 #13 Safari hii kafikia Hotel gani Dr wa Mihogo?
back town JF-Expert Member Joined Jul 8, 2015 Posts 471 Reaction score 365 Oct 1, 2015 #14 Lipumba je? vipi na yeye
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Oct 1, 2015 #15 Slaa kashapoteza mvuto
A aiai654 JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 3,857 Reaction score 1,264 Oct 1, 2015 #16 Yani akijaribu kuifagilia ccm watashangaa atakavyokuwa amemwongezea Lowassa kura za hasira. Mungu akishapanga jambo alipingae afanya kazi ya bure
Yani akijaribu kuifagilia ccm watashangaa atakavyokuwa amemwongezea Lowassa kura za hasira. Mungu akishapanga jambo alipingae afanya kazi ya bure
rofejo JF-Expert Member Joined Sep 1, 2015 Posts 518 Reaction score 187 Oct 1, 2015 #17 back town said: Lipumba je? vipi na yeye Click to expand... Bado anahiji
hk.com JF-Expert Member Joined Jun 19, 2015 Posts 816 Reaction score 137 Oct 1, 2015 #18 hana jipya huyo alifika bei lakini ajue mabadiliko ni lazima
pepsin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 3,486 Reaction score 6,172 Oct 1, 2015 #19 Dr Slaa ameniangusha mnooo.
Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,887 Reaction score 7,079 Oct 1, 2015 #20 amerudi kwenye miogo take 😆😆😆😆😆