Slaa akwama kufanya Mkutano Jimboni kwa Zitto, Wananchi wasusa

Taswira

JF-Expert Member
Sep 23, 2012
1,198
447
Taarifa ni Kwamba Slaa amekwama kufanya Mkutano kijiji cha Mwandinga kutokana na wananchi kutojitokeza kabisa/kususia Mkutano huo na kuendelea na Kazi za kuijenga nchi.
Hadi Muda huu Slaa na timu yake wanatafuta eneo la kufanyia Mkutano jimboni kwa zitto hapo Kesho.
Tukio hilo limetokea jioni ya leo.
 
Propaganda nyingine ni zaidi ya ua-ajenti wa ibilisi. Unafanya mtu akili iwe kama imekufa hivi na kinachofanya kazi ni roho ya uasi.
 
magamba bana mwishowe hela za kuwalipa zitakuwa chungu kwa mabosi wenu maana harakati zenu zinazidi kuzaa matokeo hasi kila kukicha.
Yaani mtaipenda tu cdm, msipoipenda cdm machoni basi mtaipenda moyoni.
 

habari ya mjini iko0 huku

 
Nadhani Kuna watu wana mtindio WA akili tena WA kujitakia
 

Bora shetani kwa uwajenti kuliko wewe jamani! du ...Slaa aitikisa kigoma hakuna pa kuweka mguu.
 
mwisho wa uongo aibu,cheki ulivyo aibika,siku nyingine hata kama utaleta post yenye ukweli ndani yake nani atakuamini
sizani kama hao mabosi wako watakulipa kwa post nyepesi kama hii
 

Nzi wa kijani malazi yenu pelekeni mtokako
 
kuna msemo hapa unanipa raha sana acha tu cdm ni raha tupu,, kwa mbwembwe na bashasha,, hi ndo habari ya xmass na mwaka mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…