Slaa akwama kufanya Mkutano Jimboni kwa Zitto, Wananchi wasusa

Taswira

JF-Expert Member
Sep 23, 2012
1,198
447
Taarifa ni Kwamba Slaa amekwama kufanya Mkutano kijiji cha Mwandinga kutokana na wananchi kutojitokeza kabisa/kususia Mkutano huo na kuendelea na Kazi za kuijenga nchi.
Hadi Muda huu Slaa na timu yake wanatafuta eneo la kufanyia Mkutano jimboni kwa zitto hapo Kesho.
Tukio hilo limetokea jioni ya leo.
 
Propaganda nyingine ni zaidi ya ua-ajenti wa ibilisi. Unafanya mtu akili iwe kama imekufa hivi na kinachofanya kazi ni roho ya uasi.
 
magamba bana mwishowe hela za kuwalipa zitakuwa chungu kwa mabosi wenu maana harakati zenu zinazidi kuzaa matokeo hasi kila kukicha.
Yaani mtaipenda tu cdm, msipoipenda cdm machoni basi mtaipenda moyoni.
 
taarifa ni kwamba slaa amekwama kufanya mkutano kijiji cha mwandinga kutokana na wananchi kutojitokeza kabisa/kususia mkutano huo na kuendelea na kazi za kuijenga nchi.
Hadi muda huu slaa na timu yake wanatafuta eneo la kufanyia mkutano jimboni kwa zitto hapo kesho.
Tukio hilo limetokea jioni ya leo.

habari ya mjini iko0 huku

mapokezi makubwa ya msafara wa pikipiki na magari hapa mwandiga yanamlaki gwiji wa siasa tanzania na katibu mkuu wa chadema dr wilbroad slaa kuelekea kigoma mjini.

Watu wako njiani wakinyoosha vidole viwili hewani, ishara ya kusapoti chama chao. Mapokezi ni makubwa kweli kweli chama kinapewa hapa.

Wenye magari wanaonekana kutoa heshima kwa kuweka magari pembeni na kupiga honi mfululizo wakikaribisha msafara wa katibu mkuu.

Mji wa kigoma uko hai hai sasa. Honi na vidole viwili alama ya amani, upendo na ushindi, zimehanikiza

source: Afisa habari mkuu chadema tumaini makene

updates kutoka mwananchi breaking news chini......

Dr slaa aiteka kigoma: Awasili jioni hii, apata mapokezi makubwa. Msafara wake una magari zaidi ya 22, pikipiki 150, magari 4 ya polisi, ulinzi waimarishwa.
 
Taarifa ni Kwamba Slaa amekwama kufanya Mkutano kijiji cha Mwandinga kutokana na wananchi kutojitokeza kabisa/kususia Mkutano huo na kuendelea na Kazi za kuijenga nchi.
Hadi Muda huu Slaa na timu yake wanatafuta eneo la kufanyia Mkutano jimboni kwa zitto hapo Kesho.
Tukio hilo limetokea jioni ya leo.

attachment.php
 
Nadhani Kuna watu wana mtindio WA akili tena WA kujitakia
 
Taarifa ni Kwamba Slaa amekwama kufanya Mkutano kijiji cha Mwandinga kutokana na wananchi kutojitokeza kabisa/kususia Mkutano huo na kuendelea na Kazi za kuijenga nchi.
Hadi Muda huu Slaa na timu yake wanatafuta eneo la kufanyia Mkutano jimboni kwa zitto hapo Kesho.
Tukio hilo limetokea jioni ya leo.

Bora shetani kwa uwajenti kuliko wewe jamani! du ...Slaa aitikisa kigoma hakuna pa kuweka mguu.
 
mwisho wa uongo aibu,cheki ulivyo aibika,siku nyingine hata kama utaleta post yenye ukweli ndani yake nani atakuamini
sizani kama hao mabosi wako watakulipa kwa post nyepesi kama hii
 
Taarifa ni Kwamba Slaa amekwama kufanya Mkutano kijiji cha Mwandinga kutokana na wananchi kutojitokeza kabisa/kususia Mkutano huo na kuendelea na Kazi za kuijenga nchi.
Hadi Muda huu Slaa na timu yake wanatafuta eneo la kufanyia Mkutano jimboni kwa zitto hapo Kesho.
Tukio hilo limetokea jioni ya leo.

Nzi wa kijani malazi yenu pelekeni mtokako
 
kuna msemo hapa unanipa raha sana acha tu cdm ni raha tupu,, kwa mbwembwe na bashasha,, hi ndo habari ya xmass na mwaka mpya
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom