Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa amepokelewa kwa shangwe na Wananchi wa Karagwe. Msafara wa Dr. Slaa ulikuwa na magari yapatayo 50 na pikipiki zaidi ya 80. Dr.Slaa yuko Wilayani Karagwe kwa ajili ya kufungua mafunzo ya kuwajengea uwezo Wenyeviti na Makatibu wote wa Mikoa wa CHADEMA kutoka Tanzania Bara na Visiwani. Mafunzo hayo yataanza kesho tarehe 22 hadi 23 Nov 2012. Picha zitakuja soon kuna shida ya Matandao kidogo
Hongereni sana wana karagwe. Tuwaoneshe watanzannia wengine tulivvyotayari kwa mageuzi.
Amefunika nn acheni uongo kwa mvua iliyopiga hata magari yalishndw kutembea labda alipanda punda
Mageuzi gani unayozungumzia wewe?????!!!!!
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa amepokelewa kwa shangwe na Wananchi wa Karagwe. Msafara wa Dr. Slaa ulikuwa na magari yapatayo 50 na pikipiki zaidi ya 80. Dr.Slaa yuko Wilayani Karagwe kwa ajili ya kufungua mafunzo ya kuwajengea uwezo Wenyeviti na Makatibu wote wa Mikoa wa CHADEMA kutoka Tanzania Bara na Visiwani. Mafunzo hayo yataanza kesho tarehe 22 hadi 23 Nov 2012. Picha zitakuja soon kuna shida ya Matandao kidogo
Kaenda kufungua mafunzo au kapeleka posa ukweni?
Amefunika nn acheni uongo kwa mvua iliyopiga hata magari yalishndw kutembea labda alipanda punda
He is the president of this country; especially in my heart
Ndiye rais wa Tanzania, hasa moyoni mwangu