skype free calls

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,388
habari zenu wanajukwaa,,,nawaombeni msaada jinsi ya kufanya free skype calls nikiwa connected kwenye internet,,,nimejaribu ku-wtch video za youtube lkn nyingi picha hazionekani vizuri na hazikunipa majibu sahihi

naanguliza shukrani
 
Mkuu download app yenyewe kutoka kwenye site yao, nasikia siku hizi huyo Mswed kampuni yake kamhuzia Microsoft (Bill Gates). Ukisha kamilisha ku-download basi install kwenye Desk/laptop kuna mpaka Skype ya simu za mkononi, mambo mengi wakati una-install yako self explanatory i.e app program yenyewe atakueleza nini cha kufanya.
 
habari zenu wanajukwaa,,,nawaombeni msaada jinsi ya kufanya free skype calls nikiwa connected kwenye internet,,,nimejaribu ku-wtch video za youtube lkn nyingi picha hazionekani vizuri na hazikunipa majibu sahihi

naanguliza shukrani
Unafungua account na hao watt wa Skype na ukishakuwa na username lazima uwa add watuwengine wenye username za skype ndo uweze kumake free calls kwa wale wenye usernames za skype tuu na siyo kwamba kwavile unanet utapiga namba ya tigo na uongee freee hapo nilazima ununue credit zao, uzuri wake hapa ukimpigia mutu na hiyo skype yenye credit kwenda kwenye vinamba vyetu vya tigo au voda inakuwa haionyeshi namba"unknow"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…