johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 86,486
- 147,256
Nimeona clip ya RC Makonda akiwa Longido na kisha yamefuatia malalamiko kutoka Kituo cha Haki za Binadamu pale Kijitonyama na sasa Umoja wa Wanawake wa CCM
Kufikia kesho siyo ajabu tukawasikia wameongezeka Bawacha, Mewata, Uvikanjo, Ngome ya Wanawake ACT wazalendo nk..nk
Nakushauri tu bwana mdogo Paul kwa kuwa Nia Yako ilikuwa ni Njema tu basi omba tu radhi kama wanavyodai walalamikaji Ili maisha yaendelee
Hii Dunia imejaa uonevu na mioyo ya Wanadamu imejaa Uovu, nakumbuka DAS wa Kisarawe alitumbuliwa hadharani kibabe Kabisa na Shujaa Magufuli lakini hakunaga Taasisi yoyote iliyomtetea Labda kwa sababu alikuwa ni njemba
Kibongobongo Ukimsifia mkeo hadharani Hata Wadangaji watakununia🐼
Mlale Unono 😀😀🔥