Iv Lara we ni msungu au ni mtoto wa balozi auuuu we Ni medium English maaana naona kiiingeleza tuh hapoUnfortunately MEN ARE NOT JARS OF JAM. With Men YOU NEED TO MAKE YOUR OWN THEORIES OF LIFE AND WHAT MAKES YOU HAPPY!
Huwezi kufanya theory ya FRIST COME FIRST GET kuwa anaekuja wa kwanza ndo unmpa mzigo, hell no! Evenen NOKIA KITOCHI WAS THERE BEFORE I PHONE 6 PLUS SO WHAT? Pamoja na kuwahi kote it just doesnt feet in. Things fall apart.
Though i am a collector. I collect good looking men just for reference and when i am old and stuck up i remind myself of how versatile i once was. :lol::lol:. Like trophys maybe. If i break up with good looking men i make them my friends.:lol:. It is a bda habit, nothing to be proud of. TRUST ME I KNOW BUT I AM DOING IT ANYWAY.
Iv Lara we ni msungu au ni mtoto wa balozi auuuu we Ni medium English maaana naona kiiingeleza tuh hapo
Kuna kipindi mtu anaona sifa sana kuwalala wadada wengi, hata kuwa na wadada zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja. Lakini inafikia mda unaona kama ni ujinga na ulimbukeni tu.
Na mara nyingi ukishaenda umri kidogo, unaangalia nyuma, unahesabu na kusema, "hapa sina cha kujivunia zaidi ya kujisikitikia".
Mtoa mada asante sana hii imetulia, wala haiotaji mbwembwe sana, ukweli ni kwamba sio sifa, ila sasa kutambua hilo inategemea na mtu mwenyewe, na kujitoa kuamua kuacha. tofauti na hapo hata useme kwa mbereko ni kazi bure