F Fundi_Mjasiriamali JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 745 Reaction score 1,355 Dec 13, 2018 #1 Tafakuri ya leo, kwa wale wanaotusisitiza vijana tujiari ilihali wao wameajiriwa. Naukumbuka huu msemo unaosema "Kaajiriwa ili kuwafundisha watu kujiajiri"
Tafakuri ya leo, kwa wale wanaotusisitiza vijana tujiari ilihali wao wameajiriwa. Naukumbuka huu msemo unaosema "Kaajiriwa ili kuwafundisha watu kujiajiri"
Odhiambo cairo JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 16,353 Reaction score 22,963 Dec 13, 2018 #2 Wakati mwingine alikuwa na points sana. Sema kizuri hakikosi kasoro , ndo hivo tena, u dictator umemharibia sana. Fundi_Mjasiriamali said: Tafakuri ya leo, kwa wale wanaotusisitiza vijana tujiari ilihali wao wameajiriwa. Naukumbuka huu msemo unaosema "Kaajiriwa ili kuwafundisha watu kujiajiri"View attachment 966781 Click to expand...
Wakati mwingine alikuwa na points sana. Sema kizuri hakikosi kasoro , ndo hivo tena, u dictator umemharibia sana. Fundi_Mjasiriamali said: Tafakuri ya leo, kwa wale wanaotusisitiza vijana tujiari ilihali wao wameajiriwa. Naukumbuka huu msemo unaosema "Kaajiriwa ili kuwafundisha watu kujiajiri"View attachment 966781 Click to expand...