Six Flying Dragons: The best historical Korean drama

Dah hapo kuna ukweli Fulani... Mimi pia sikuona ulazima wa mwandishi kumuua character Wang Yu niliboreka haswa ila twende mbele turudi nyuma hii drama ni kali jamani sema wadau walivoizodoa teh teh teh!!! Mpaka sio vizuri.
 
Hamna kitu humo mkuu nimeangalia mpaka episode ya 39 lakini hadi leo naona uvivu kuimalizia!!!
 
Hamna kitu humo mkuu nimeangalia mpaka episode ya 39 lakini hadi leo naona uvivu kuimalizia!!!
Bro......yaan kama series unasema hmna kitu bas hakuna historical yeyote utakayo iona nzuri au pengine hizi historica sio favourite zako
 
Bro......yaan kama series unasema hmna kitu bas hakuna historical yeyote utakayo iona nzuri au pengine hizi historica sio favourite zako
Nilipenda jinsi ilovyoanza ila mwishoni bwana mdogo Bang Won alianza kuniboa...sema labda imekua based kwenye true story ndio maana.
 
Kwa upande wangu the best historical korean drama Ni "The empress ki" kitu kilichonivutia Ni story line yake, mapigano na Ni drama ambayo Ni unpredictable kila unapomaliza episode inaisha na utamu unatamani next episode itakuwaje
Mzee wa empress Ki
 
Nimeimaliza aisee episode zote 50

Ila duuh YI bang won dogo nuksi sana .

Sambong mshenzi sana anajifanya mjamaa kumbe madaraka yote anajulimbikizia yeye.

Moyohool noma
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…