Six Flying Dragons: The best historical Korean drama

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Daemusin njooo uone huku walichokiona hawa wakuu na sie tulikona ila inno anabisha

DowntownGuy hapa haukupaona?

Kubali au kataa hii drama ilianza vizuri ila karibu na mwisho mwandishi aliishiwa ideas. Halafu kitendo cha empress ki kujifungua na kutogundulika nacho kinashangaza sana
Dah hapo kuna ukweli Fulani... Mimi pia sikuona ulazima wa mwandishi kumuua character Wang Yu niliboreka haswa ila twende mbele turudi nyuma hii drama ni kali jamani sema wadau walivoizodoa teh teh teh!!! Mpaka sio vizuri.
 
Hii ni series nzuri mno kama we ni mpenzi wa historical (Sageuk).

Plot

Story inaongelea maisha ya Mwanzilishi wa Taifa la Joseon (Korea). Jang Do Jeon msomi na mwanaharakati katika utawala wa Guryeo, alikua anachukizwa na mateso wanayopitia raia katika nchi ya Guryeo, hivyo akaazimia kutengeneza taifa jipya.

Akaungana na mtoto wa General katika mapinduzi. Ambapo inafika wakati wakapata tofauti kati yao.
Fuatilia mkasa huu wa kuvutia

Cast
Yo Ah In
Shin Se Kyung
Shin Myung Min

View attachment 1603885
Hamna kitu humo mkuu nimeangalia mpaka episode ya 39 lakini hadi leo naona uvivu kuimalizia!!!
 
Bro......yaan kama series unasema hmna kitu bas hakuna historical yeyote utakayo iona nzuri au pengine hizi historica sio favourite zako
Nilipenda jinsi ilovyoanza ila mwishoni bwana mdogo Bang Won alianza kuniboa...sema labda imekua based kwenye true story ndio maana.
 
Kwa upande wangu the best historical korean drama Ni "The empress ki" kitu kilichonivutia Ni story line yake, mapigano na Ni drama ambayo Ni unpredictable kila unapomaliza episode inaisha na utamu unatamani next episode itakuwaje
Mzee wa empress Ki
 
Nimeimaliza aisee episode zote 50

Ila duuh YI bang won dogo nuksi sana .

Sambong mshenzi sana anajifanya mjamaa kumbe madaraka yote anajulimbikizia yeye.

Moyohool noma
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom