Siwezi oa mwanamke wa mjini

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,865
Ila nazidi kuwa confused.Jamaa yangu nilikuwa napiga nae story leo kuhusu ndoa na wanawake gani sahihi kuoa.

Sasa akaniambia kuwa yeye hawezi kuoa mwanamke wa mjini.

Sasa nikajiuliza Kuwa na wanawake wa kijijini wakisema hawaolewi na wanaume wa mjini...mbona hakutakuwa na ndoa.

Tufikirieni bana tabia ya mwanamke haiusiani na mazingira na sio kwamba ukioa mwanamke from village ndio ndoa itadumu?

#Iam Zagarino
 
Ni kheri mara mia nitamuoa mwanamke wa mjini kwa sababu atakuwa na uelewa wa mambo mengi kdg kuliko wa kijijini...huyo huyo wa kijijini akiwa mtoto wa mjini asee utatamani uingie ardhini japo si wote.
 
Huo tunaita uoga tu mbona ndoa zipo mjini wanaishi vizuri, je ukienda pwani ( wadengereko) utasema utaoa mbinguni wakati wanajenga family wao kwa wao.
 
Cha msingi ni kuoa mwanamke uliyeridhika nae na mnaeendana kutoka mazingira yyte Yale, mwanaume hupaswi kuogopa wewe ndo kichwa.
 
wanawake wa mjini wanapenda Sana starehe zilizo nje ya uwezo wao.
naishia hapo.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Hahahah,,haka kajamaa bhana!!natafutaga sana videos zake,hivi nazipataje?
Search chakumbalanga.. nafikiri ndo jina lake na lenyewe gumu sijui nimelipatia.. halafu jamaa sura ngumu ila mapozi Sasa..πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Search chakumbalanga.. nafikiri ndo jina lake na lenyewe gumu sijui nimelipatia.. halafu jamaa sura ngumu ila mapozi Sasa..πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahaha kuna ile kalikua kamelewa kanalia kimbwa daah.!!Shukrani man ngoja nikasome kwenye rada
 
Acha wafu wazike wafu wenzao, hivyo acha watoto wa mjini waoe milupo.
Jogoo la ipogoro haliwiki manzese.
 
B
Search chakumbalanga.. nafikiri ndo jina lake na lenyewe gumu sijui nimelipatia.. halafu jamaa sura ngumu ila mapozi Sasa..πŸ˜‚πŸ˜‚
Bro nime'search ilo jina ila naambiwa No results,,itakua Umekosea kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…