mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,967
Unaudhaifu mkubwa kamuone phycogist kwa ushauri nasaha.....Hili bwana limenishinda.
Eti utakuta mwanaime na mwanamke ni marafiki kabisa.
Aaaaaaaaa
Kwakweli kwa upande wangu wote waliokuwa wanahitaji ukaribu nami waliambulia ABDALA KICHWA WAZI.
huo ndio ulikuwa mwisho wa insha.
We unaweza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili bwana limenishinda.
Eti utakuta mwanaime na mwanamke ni marafiki kabisa.
Aaaaaaaaa
Kwakweli kwa upande wangu wote waliokuwa wanahitaji ukaribu nami waliambulia ABDALA KICHWA WAZI.
huo ndio ulikuwa mwisho wa insha.
We unaweza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo kasumbaHili bwana limenishinda.
Eti utakuta mwanaime na mwanamke ni marafiki kabisa.
Aaaaaaaaa
Kwakweli kwa upande wangu wote waliokuwa wanahitaji ukaribu nami waliambulia ABDALA KICHWA WAZI.
huo ndio ulikuwa mwisho wa insha.
We unaweza?
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani kuna ubaya gani mkuu?hapo ufukweni alipokuwa mbona kulikuwa na watu kibao sawa tu na hapa JF?!
Hapo palipokolezwa,
Kapime kiwango cha 'oestrogen' zako fasta unaweza kuota 'Needle' soon.