mke wangu nimemfumania mara 2 na marafiki zangu nilipomuuliya akaanza kunitukana na kunieleza kwamba nimelala na mama yake mzazi wakati simjui hata kwa sura kwani wakati tunaoana mwaka 2009 mama yake alishafariki mwaka 2003.nifanyeje nimyonge au nijinyonge au nimsamehe au niondoke nikaanze maisha yangu mapya yy nimuache?naombeni ushauri wenu wana jf
Kuna wale wanaolewa kwasababu umri umeenda au pesa au sababu nyingenezo na nadhani huyo mkeo ni moja wao hakuingia kwenye ndoa na wewe kwasababu ana mapenzi ya dhati lahasha,Sasa kama ndoa imefikia hatua hio ni majanga matupu,utakuja kuletewa maradhi tu.We muache tu dunia itampa funzo kubwa sana malipo hapa hapa duniani "WHAT GOES AROUND COMES AROUND"Mke wangu nimemfumania mara 2 na marafiki zangu, nilipomuuliza akaanza kunitukana na kunieleza kwamba nimelala na mama yake mzazi wakati simjui hata kwa sura kwani wakati tunaoana mwaka 2009 mama yake alishafariki mwaka 2003.
Nifanyeje nimyonge au nijinyonge au nimsamehe au niondoke nikaanze maisha yangu mapya yeye nimuache?
Naombeni ushauri wenu wana jf.
Pia hili sio jukwaa sahihi kwake bro, namshauri apeleke kwenye mahusiano, mapenzi na urafiki huko waweza kusaidiwa yaidi....mbona hujaweka picha
Mkuu mie hata ushauri sina kama unampenda kumuacha huwezi. Mie wangu sijawah mfuma ila tunamaugomvi balaa yaani ni juzi tu nimetoka sero kwa ajili ya kumshushia kipigo cha mwana ukome. Ndoa balaa. Wanawake pasua kichwa babu acha tu. Msamehe zaidi sana mgegede bila mpangilio.