Siwafahamu...lakini tuwaombee! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siwafahamu...lakini tuwaombee!

Discussion in 'Jamii Photos' started by masopakyindi, Oct 18, 2012.

 1. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,906
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  View attachment 68535
  Katika zurura yangu nji hii nikisaka tonge, nimekutana na masalia ya ajali pale Wami Sokoine.
  Nisimama na kuuliza kulikoni, wakazi hapo waliniambia watu watatu walipoteza maisha sehemu hiyo. Walisimulia zaidi kuwa gari hilo liligongwa kwa mbele na nyuma na hapo mahali sasa ni hatari kwa ajali.

  Gari hilo lilikuwa Pajero Oi GDi, na limefinyangwa mithili ya kukanyagwa kanyagwa na tembo.

  Hao marehemu masikini siwafahamu lakini tuwaombee.
   
 2. awp

  awp JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  yatupasa kuwaombea
   
 3. Jidu

  Jidu JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,167
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Dah nimeiona jana nikipita hapo pia!
   
Loading...