Wanasema DEADLINE FOR THIRD ROUND APPLICATION IS 14TH OCTOBER 2015 lakini mpaka saa ivi hawaoneshi kama system is closed for allowing processing au vipi
Selection miezi miwili na bado haijaisha na huenda ikaongezeka, hiyo system ina tofauti gani na ile ya zamani ambapo technology ilikuwa duni.yaani technology imekuwa ila hali imezidi kuwa mbaya,Africa bhana!!!