Situmii tena tigo pesa

Situmii tena tigo pesa

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Posts
45,751
Reaction score
55,787
Leo nimekwenda kitoa hela kwa wakala.kwenye simu kulikuwa na15,000.nikaangalia viwango vya kutoa fedha.nikitoa 13,500,watakata 1,250,cha ajabu nilipotoa tu hela wamekata 1,300,hapo nishaibiwa sh 50,wamebakiza Sh 200,kwenye account yangu ambayo hainunui hata salio.naamia air tel money.wezi wakubwa ninyi tigo.kwa heriniii
 
Weziiii sanaaaa TIGO.. sio tigo pesa tu..weka hata vocha.. usijiunge na huduma zozote...wanakata 100 kila siku.. na TCRA wako kimya tu...

TIGO wezi weziii kuliko kampuni yoyote hapa TZ..
 
Halafu yule mchina anaesema "umebakiwa na muda wa maongezi chini ya dk 1"waninni kwetu??????.?????????
Anakula muda wetu ambao tumeshanunua anakata mazungumzo,hapo tiGo pia Munatuibiaaaaaaaaaaaa
Acheniiiiiiiiiiiiiii
 
Leo nimekwenda kitoa hela kwa wakala.kwenye simu kulikuwa na15,000.nikaangalia viwango vya kutoa fedha.nikitoa 13,500,watakata 1,250,cha ajabu nilipotoa tu hela wamekata 1,300,hapo nishaibiwa sh 50,wamebakiza Sh 200,kwenye account yangu ambayo hainunui hata salio.naamia air tel money.wezi wakubwa ninyi tigo.kwa heriniii
nawewe ubahiri umekuzizi50 tu unamind?
 
Halafu yule mchina anaesema "umebakiwa na muda wa maongezi chini ya dk 1"waninni kwetu??????.?????????
Anakula muda wetu ambao tumeshanunua anakata mazungumzo,hapo tiGo pia Munatuibiaaaaaaaaaaaa
Acheniiiiiiiiiiiiiii

nawewe ubahiri umekuzizi50 tu unamind?
Hiyo 50 wakiibiwa watu 20,000,000 ni shilingi ngapi hiyo!?
 
Tigo customer care is soo poorly! Yaani ukitaka kuwachukia Tigo Pesa kosea kutuma au kutoa ukiwa safarini; pesa hairejeshwi hadi mwezi, hata kama umewapa fact zoote hawajali kabisa wanaishia kukujibu subiri baada ya Massa 24 lakini wap
 
Mkuu hapo ndipo napoichukia tigo.nimepoteza hela kimakosa lakini ukipiga simu unawekwa hewani zaidi ya dk 45.ni kama hawatutaki tu
 
Back
Top Bottom