Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,808
- 165,568
Kwa hiyo wanakatiza majadiliano?
Sitta anachezea katiba, yaani katiba ya Tanzania ikapigiwe kura India???
Hii ni zaidi ya dharau kwa watanzania.
Maajabu. Haraka yote ya nini, hata walipiga kura na kutoai 'Rasimu' au Katiba inayopendekezwa, kwangu mimi ni kupoteza fedha kwani haitakuja kukamilishwa kama ilivyo. Let us come back to our senses tupumue kwanza na kisha tukienda tutakuwa na mawazo mazuri zaidi; tupate muda wa kuheal.
Kwa gharama za walipa kodi?Six anajaribu kutengeneza mnazingira ya kuendelea kuwa m/kiti kwa bunge litaloteuliwa na Rais Eduardo Lowassa come 2016
Katika kuonyesha kuwa wamedhamiria kuendelea na mchakato huo wa katiba,mh.Sitta amesema wajumbe wataanza kupiga kura kupitisha ibara za rasimu ya katiba kuanzia tarehe 26 na kwa wale wajumbe watakaokuwa nje ya nchi utaratibu unafanywa kwa kuwasiliana na balozi husika ili kuwawezesha wajumbe hao wapige kura hata kama watakuwa nje ya nchi.Na hapa aliwalenga wanaokwenda kuhiji na walioko India kwa matibabu.
Ninachojiuliza ni je sheria za bunge hilo zinaruhusu upigaji kura wa aina hiyo?Na kama ndio, mabadiliko hayo ya sheria na kanuni hizo yalifanywa lini?
Kwani kuna Sheria gani iliyounda kile kikundi kinachojiita UKAWA? Pia ni Sheria gani iliyowafanya UKAWA wasusie Bunge Maalum la Katiba?Katika kuonyesha kuwa wamedhamiria kuendelea na mchakato huo wa katiba,mh.Sitta amesema wajumbe wataanza kupiga kura kupitisha ibara za rasimu ya katiba kuanzia tarehe 26 na kwa wale wajumbe watakaokuwa nje ya nchi utaratibu unafanywa kwa kuwasiliana na balozi husika ili kuwawezesha wajumbe hao wapige kura hata kama watakuwa nje ya nchi.Na hapa aliwalenga wanaokwenda kuhiji na walioko India kwa matibabu.
Ninachojiuliza ni je sheria za bunge hilo zinaruhusu upigaji kura wa aina hiyo?Na kama ndio, mabadiliko hayo ya sheria na kanuni hizo yalifanywa lini?
Swali lako laashiria huzijui kanuni za Bunge na sheria zinazodhibiti uhalali wa maamuzi yake. Hukawii kuuliza vipi wajumbe wasiendelee na bunge bila ukomo mpaka katiba ipatikane!Kwani kuna Sheria gani iliyounda kile kikundi kinachojiita UKAWA? Pia ni Sheria gani iliyowafanya UKAWA wasusie Bunge Maalum la Katiba?