Sitta: Polisi wana ushahidi Mwakyembe kupewa sumu

Godlisten Masawe

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
738
Reaction score
283

Source: Mwananchi, 01/02/2012

Naomba kuwasilisha
 
Huyu Mwakyembe ovyo sana, yeye ni mwakilishi wa wananchi (Kyela), huu ndio muda wa kuwambia wapiga kura wako wewe una umwa nini!!
 
Hivi ile Lugha yao ya collective responsibillity hapa ha-apply?
 
We mzee Sita ebu kaa kimya watakuua bure.
 
Huyu Mwakyembe ovyo sana, yeye ni mwakilishi wa wananchi (Kyela), huu ndio muda wa kuwambia wapiga kura wako wewe una umwa nini!!

Si wote wenye masikio ya kusikia husikia na wenye macho ya kuona huona! :canada:
 
Hata sielewi hii nchi inakwenda wapi, kila siku kutishiana tu
 
tutaona na kusikia mengi mwaka huu.:lol:
 
Mbona Sitta naye ni mgonjwa wa akili,kwa nini hasemi alomlisha sumu!
 
Huyu Mwakyembe ovyo sana, yeye ni mwakilishi wa wananchi (Kyela), huu ndio muda wa kuwambia wapiga kura wako wewe una umwa nini!!

Unadhani akishawaambia hao walalahoi wa Kyela sumu aliyopewa itaisha na IGP Mwema ataacha kupokea maelekezo kutoka kwa Manywele?
 
kama wao wanashindwa kufanya uchunguzi tuwaite Scoland Yard au Mosad Baba lao tuwafunue walichofunika
 
Mbona Sitta naye ni mgonjwa wa akili,kwa nini hasemi alomlisha sumu!

tusipende kuropoka ivyo,umempima sita ukagundua ana matatizo ya akili? Mwenzangu za mwenzako zikinyolewa zako tia maji..maana wat goes round comes around,nahodha aache unafiki ukweli anaujua,wanachofanya sasa hivi wanaua wale waliotumwa kutekeleza amri ya kumpa dr sumu ili kufuta ushahidi,tumekaa kimya sio kama hatujui kinachoendelea,naelewa usalama wa taifa lazima wakodolee macho hii thread ila fikisheni ujumbe kwamba yote wayafanyayo yana mwisho wake na wataumbuka vibaya.
 
funguka zaidi mkuu wameshalamba udongo wangapi???
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…