MASIKITIKO
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 959
- 429
Katika hali ambayo ilijulikana na ambayo inaelezwa kukolezwa kwa kutokuwepo jawabu la kujivua gamba, ni wazi sasa Sitta na kundi lake katika kuwania urais mwaka 2015 wameanza harakati za kujiweka sawa na wana CDM ambao wanaamini wataweza kuwapigia upatu kujiunga na chakma hicho mwaka 2015 kama mambo hayatakuwa upande wao katika CCM.
Taarifa za karibu na mbunge wa Arusha Mjini CDM zinaeldeza kuwa, mbunge huyo alikutana na Sitta kabla ya Sitta kumwagia sifa huku Sitta akimuelezea kuwa anakubaliana naye katika hatua za kuufanya mkoa wa Arusha usitawalike kwa kuwa unampaka matope EL. Hata hivyo, Sitta aliambiwa na watu wa karibu na Mbunge Lema kuwa, Arusha ikibaki hivi ilivyo CDM watashinda kirahisi mwaka 2015 lakini Sitta asijihakikishie kuwa huo ndio utakuwa mtaji wake kuingia CDM kwa kuwa chama hicho kwa sasa kina vigogo wengi wenye ushawishi kuliko yeye Sitta. Hata hivyo kauli kutoka kwa kiongozi mmoja wa CCM ambaye yuko karibu na Waziri Mkuu MWANDISHI WA GAZETI LA JAMUHURI WEWE
Mimi bado naiota combination ya sitta na Dr Slaa mmoja rais mwingine PM.Tanzania tutapaa!

Taarifa za karibu na mbunge wa Arusha Mjini CDM zinaeldeza kuwa, mbunge huyo alikutana na Sitta kabla ya Sitta kumwagia sifa huku Sitta akimuelezea kuwa anakubaliana naye katika hatua za kuufanya mkoa wa Arusha usitawalike kwa kuwa unampaka matope EL. Hata hivyo, Sitta aliambiwa na watu wa karibu na Mbunge Lema kuwa, Arusha ikibaki hivi ilivyo CDM watashinda kirahisi mwaka 2015 lakini Sitta asijihakikishie kuwa huo ndio utakuwa mtaji wake kuingia CDM kwa kuwa chama hicho kwa sasa kina vigogo wengi wenye ushawishi kuliko yeye Sitta. Hata hivyo kauli kutoka kwa kiongozi mmoja wa CCM ambaye yuko karibu na Waziri Mkuu Pinda alikimbia chanzo cha habari hii kuwa, Sitta sasa ameanza kupambana na serikali na hasa nafasi yake Waziri Mkuu ambayo ndiyo hasa kimsingi inasimamia mgogoro huo wa Arusha. "Tunajua katika CCM nini anachofanya Sitta, naona wameanza kuungana na kuonyesha kambi yao mapema. Hii inatupa urahisi kwa kuwa kambi zote sasa zinazjulikana kama ulivyoona kule Arusha juzi," chanzo hicho kilifafanua. Chanzo hiki kinaonyesha kuwa mpango wa kuchangisha harambee mbalimbali ulioasisiwa na Edward Lowassa sasa umechukuliwa na kambi ya Sitta akishirikiana na watu wake wa karibu na una lengo la kuhakikisha kuwa wanashindana na Lowassa katika kupita maeneo mbalimbali ya nchi.
Hata hivyo baadhi ya wananchi waliozungumza na vyanzon vyetu wameonyesha kufurahia harambee hizi na wakawataka wanaojipitisha pitisha kuongeza nguvu ili kutatua kero za wananchi kwa kuwa serikali inaonyesha kulemewa. Taaarifa zaidi subiri magazeti yajayo.

Ni kweli kabisa, hii ni aina ya habari potosha ambazo zitakuwa zinachapishwa na gazeti jipya la fisadi Lowassa kwa kushirikiana na Saeed Kubenea wa MwanaHalisi ambaye ana roho nyepesi kama kuku na sasa ni kibarua wa mafisadi pamoja na Absalom Kibanda wa Tanzania Daima.
Kwani Mashoga wameruhusiwa kufanya kazi zao Tanzania?
Ni kweli kabisa, hii ni aina ya habari potosha ambazo zitakuwa zinachapishwa na gazeti jipya la fisadi Lowassa kwa kushirikiana na Saeed Kubenea wa MwanaHalisi ambaye ana roho nyepesi kama kuku na sasa ni kibarua wa mafisadi pamoja na Absalom Kibanda wa Tanzania Daima.
Tutasikia matusi mengi toka kwa wana CCM maslahi kama wewe mwaka huu.
U are wormly welcom mzee 6. Achana na siasa Uchwala za Magamba.
Mimi bado naiota combination ya sitta na Dr Slaa mmoja rais mwingine PM.Tanzania tutapaa!
Hizi porojo zinaenezwa na kundi la mafisadi ndani ya CCM likiongozwa na Lowassa na Chenge, na wafuasi wao kama mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Shinyanga, Mgeja. Habari za kupikwa za Sitta kuhamia CHADEMA pia zilichapishwa na MwanaHALISI wiki hii kwa kichwa cha habari "Waziri wa JK kumkimbia Lowassa." Inajulikana wazi kuwa Saeed Kubenea wa MwanaHALISI amenunuliwa na Lowassa na Rostam na amekuwa akiandika habari kwa maelekezo yao.
Kundi la kina Lowassa ndio limeibua yuhuma kuwa Sitta na Nape ni waanzilishi wa CCJ. Yote haya ni kujaribu kuleta vurugu ndani ya CCM ili dhana ya kujivua gamba ishindikane. Wanataka kuwachanganya wajumbe wa NEC na uongozi wa CCM kuwa kila mtu ana tuhuma ndani ya CCM eti wakidhani hiyo itawaokoa wao mafisadi guberi kina Lowassa na Chenge wasifukuzwe.
Katika hali ambayo ilijulikana na ambayo inaelezwa kukolezwa kwa kutokuwepo jawabu la kujivua gamba, ni wazi sasa Sitta na kundi lake katika kuwania urais mwaka 2015 wameanza harakati za kujiweka sawa na wana CDM ambao wanaamini wataweza kuwapigia upatu kujiunga na chakma hicho mwaka 2015 kama mambo hayatakuwa upande wao katika CCM.
Taarifa za karibu na mbunge wa Arusha Mjini CDM zinaeldeza kuwa, mbunge huyo alikutana na Sitta kabla ya Sitta kumwagia sifa huku Sitta akimuelezea kuwa anakubaliana naye katika hatua za kuufanya mkoa wa Arusha usitawalike kwa kuwa unampaka matope EL. Hata hivyo, Sitta aliambiwa na watu wa karibu na Mbunge Lema kuwa, Arusha ikibaki hivi ilivyo CDM watashinda kirahisi mwaka 2015 lakini Sitta asijihakikishie kuwa huo ndio utakuwa mtaji wake kuingia CDM kwa kuwa chama hicho kwa sasa kina vigogo wengi wenye ushawishi kuliko yeye Sitta. Hata hivyo kauli kutoka kwa kiongozi mmoja wa CCM ambaye yuko karibu na Waziri Mkuu Pinda alikimbia chanzo cha habari hii kuwa, Sitta sasa ameanza kupambana na serikali na hasa nafasi yake Waziri Mkuu ambayo ndiyo hasa kimsingi inasimamia mgogoro huo wa Arusha. "Tunajua katika CCM nini anachofanya Sitta, naona wameanza kuungana na kuonyesha kambi yao mapema. Hii inatupa urahisi kwa kuwa kambi zote sasa zinazjulikana kama ulivyoona kule Arusha juzi," chanzo hicho kilifafanua. Chanzo hiki kinaonyesha kuwa mpango wa kuchangisha harambee mbalimbali ulioasisiwa na Edward Lowassa sasa umechukuliwa na kambi ya Sitta akishirikiana na watu wake wa karibu na una lengo la kuhakikisha kuwa wanashindana na Lowassa katika kupita maeneo mbalimbali ya nchi.
Hata hivyo baadhi ya wananchi waliozungumza na vyanzon vyetu wameonyesha kufurahia harambee hizi na wakawataka wanaojipitisha pitisha kuongeza nguvu ili kutatua kero za wananchi kwa kuwa serikali inaonyesha kulemewa. Taaarifa zaidi subiri magazeti yajayo.
Wewe jamaa ulikuwa na bifu na mashoga toka kitambo ee..Kwani Mashoga wameruhusiwa kufanya kazi zao Tanzania?