Fala sana yule jamaa mm nilipo gundua kuwa niyeye aliye kuwa anatuma SMS sikuweza kuunganisha doti nikabaki najiuliza hadi jamaa walio mfumua malinda walipo nipigia kunuambia jamaa ni ***** ndiyo nikajua mchezo .wale jamaa waliniambia pia kuwa jamaa alikua amejichora tatuu imeandikwa SORRY GIRL I LOVE BOY nilichoka pia kumbe jamaa alimwambia Demu wangu kuwa anatatizo la nguvu za kiume eti ana kisukari hiyo waende gest kufanya romance tu likawa linampa hela sh 35000 Kwa kufanya romance wakati likinilengesha nilifumanie hayo niliyakuta kwenye SMS ya Simu zao