Sitosahau experience yangu na dada poa...

X-Agent

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
8,995
Reaction score
17,142
Kuna siku genye zilinizidi nikaamua nitembeze makanyagio yangu hadi kwa hawa dada solution ya matatizo kwa gharama ndogo...
nilivyofika niliona bi mdada mzuri safi kabisa aliyenona, na tulipokubaliana alikataa kwenda guest na kutaka short kwenye kichaka.
wakati tunaelekea eneo la uchinjaji nilikutana na jamaa wengi wanakamua kwenye vichaka wengine walionekana kama mateja, wengine watoto!

kwakweli hamu ilinitoka tulipofika tu bisisteri alijilaza akatoa kufuli nakuniambia njoo, ile nyapu ilikua inasura mbaya na imelegea utadhani kuna watu 1000 walishanitangulia hap0 !

Mimi niliamka na kuanza kuchapa lapa nilipotokea ila kabla sijafikisha hatua kama kumi hivi ghafla nilikidwa shingoni na yule bidada huku amenidandia mgongoni na kuniambia leo tutakufa wote haiwezekani unifanyie hivi ,,,,

Nilijisema aibu gani hii polepole niliingiza mkono mfukoni nikamwambia hela yako hiyo na nyapu sitaki...alichukua na huo ndio ukawa mwisho wa kwenda huko.

[emoji2][emoji2] Hongereni mnaowaweza !!
 
Una macho gani ya kuweza kuona papu kwenye giza kichakani?,siku nyingine ukitaka kutunga tunga karibia na uhalisia,vinginevyo unashusha hadhi ya jf
 
Una macho gani ya kuweza kuona papu kwenye giza kichakani?,siku nyingine ukitaka kutunga tunga karibia na uhalisia,vinginevyo unashusha hadhi ya jf
Mkuu yule bidada alikua mweupe safi kabisa (usoni) huku kunako hakukutoa ushirikiano na alivyo...kiufupi amini au usiamini ni sawa tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hukuwa na genye wewe. Ilitakiwa uchapwe unaenda kuchungulia nyuchi za watu burebure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…