Sitopenda tena...

Huwezi jizuia kutopenda tena... Hua inakuja automatically tu hiyo,mapenzi ni ajali kama ajali zingine hujua saa wala siku hisia na moyo wako vitakayoangukia kwa mtu fulani
 
Mkuu vipi alisalimishwa Tigo lakini?
 
Huwezi jizuia kutopenda tena... Hua inakuja automatically tu hiyo,mapenzi ni ajali kama ajali zingine hujua saa wala siku hisia na moyo wako vitakayoangukia kwa mtu fulani
Kama mimi kwako,lakini wala hujali maumivu nayopata mamii.
 
Me mapenzi nilishaenda likizo...SIKU NIKIPOMTEXT GALWANGU "MPENZI NIMEMISS PENZI LAKO,!! AKANIJIBU, "POA"
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…