Sitopenda tena...

Ni wasi wako na haraka yako tu hata nae alikua anakupenda mno alichokua akikifanya ni kutafuta uzowefu na umahili kutoka kwa watu mbalimbali ili aje autumie kwako ili akulilidhishe kutokana na uzowefu alioupata sehemu mbalimbali kama unabisha mpe nafasi nyingine naamini hautajuta kurudi kwake
 
Story ndefu saana, ukweli unabak pale pale ukisha yaanza mapenzi ni sawa na kula nyama ya MTU hautoacha kamwee!!! Unless umepata ajali Gegedeo likanyofoka!!!
 
Let it go men.Umenikumbusha mbali.Hiyo ndio transformation stage ya ununda wa mapenzi.Baadae utawaliza wengi.
Anaweza pia nae akalizwa na wengi pia!!Maana Moyo hauupangii et penda yule a
Kwa muda Fulani au Acha yule!!;Kupenda ni inatokea Automatically!!
 


!
!
Dah.....nipe namba yake nijaribu bahati yangu.
 
Siku zote ukiwa na demu mzuri sana ambaye hakupendi lazima utateseka tuh.Labda akupende yeye.
 
Huwezi ukahitimisha maisha yako ya mapenzi eti kwa sababu ya malaya.
 

!
 
Penda pesa Mpwa, usipende binadamu! PESA ina mapenzi ya Kweli ukiipenda, ukiitafuta na kuibembeleza kwenye matumizi. Itakupa kila raha ya Dunia hii.
Mkuu mpenz wa kweli pesa pesaaaa
 
Mwanamke akishakuwa hana hofu ya Mungu, jamii inamuonaje na uhuru wa kutosha ni matatizo kwake na watu wanaomzunguka.Kwa uzuri wake na urembo utanasa ili hali unajua hapa si mahali Salama.

Waweza kuua,kudharilika sana,kwenda jela,kuwa mlevi,kufa au kupata majuto kwa kufanya mambo usiotarajia siku utafanya.Been there.!
 
Kua na mke, mchumba, hawara au demu mzuri ni sawa na kua na shamba la miwa karibu na pori la nguruwe pori
 
Mkuu..huyo dada ana mapepo ya mahaba...sio kosa lake...and acha kujiadhibu....
 
Pole sana, hawa viumbe ni shida, yasikie tu kwa jirani
 
mateso mengine yanaepukika mtu ukiona mienendo yake hayaendani na wewe ni vyema uka move on
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…