Sitopenda tena...

mkuu hlo tatzo sio la kwanza kwako nnaijua tiba, nipe namba yake ya simu ,,,,,tatzo lake litaisha kabsaa na utampenda tna
 
Kauli hizi sa sito penda tena huwa zinakuwa hazina ulazima ni bora hata useme sitosahau

Uwa napenda niwafahamu watu kama wwe siku nione unavo imeza kauli yako

Any way pia pole kwa mkasa huo
 
Let it go men.Umenikumbusha mbali.Hiyo ndio transformation stage ya ununda wa mapenzi.Baadae utawaliza wengi.
 
Mmmh pole sana
Sio bure demu anamdudu.
 
Mchungaji ukimpelekea mwanamke ni sawa na kumpeleka mbuzi kwa muuza supu akuzuilie. Mifupa ukiikuta bahati yako
 
Tatizo mnapenda Akina Kim mtawaweza wapi msotafuta kina gigy money
 
Wengine wametumwa duiani kwa shughuli iyo. Labda ulipenda mtu mwenye agizo la kuharibu hatima za wanaume throuh sex. Mkuu nenda kaombewe!
 
Ni mchakato tu wa maisha, sahau na songa mbele, utamsahau na utapenda tena
 
Utapenda tu mazee mbona mambo ya kawaida hayo.Wanawake wazuri watatakwa na kila mtu.ukilijua hilo halitakusumbua kama utaamua kuwanao na kama unazama mapenzini na kufanikiwa kujinasua shukuru Mungu kwan wengine huoa kabisa na kuja kujuta baadae
 
Reactions: iw8
Huo ndio ukomavu pamoja na experience ya kwenye hausiano.
Changamoto ni sehem ya maisha, na usije ukasema kwamba kwakua ulichomwa na mwiba wa samaki, basi hauto kula samaki tena.
Lakufanya.....
Kwakua tayari umesha achana na huyo alie kuumiza, anza moja na tafuta mwingine ambae utaona amekupendeza na anafaa. Kumbuka wapo wengi ambao wana penda kwa dhati na wenye nia ya dhati yenye kujenga.
 
Bado una mawasiliano nae aisee kama namba ya. Simu account ya. Jf Instagram au Facebook
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…