Sitomsahau

Umeambiwa utageuzwa na wewe unajiachia kuzimia mbele ya geti la mhusika?
 
acha kukalili dada binadamu hatufanani....ndo maana kuna wezi,malaya,viongozi,walimu nk......hiyo ajali tu ilikupata...shida ni kwamba ulishindwa kukubaliana na hiyo hali...poleeeeeeeeeee

Ahsante ndugu ila xijapenda hadi leo
 
We me nipo hapa zanz airport anaitwa nani? Ni pm ntakupa aarifazake nipe jina tu niwape mrejesho wanajamvi isihekuwa nifix zako hapa.
 
Moyo wa mtu ni kiza kinene. Ni bora kumwambia mwenzio muachane, japo ataumia lakini ni bora maumivu kuliko maumivu na fedhea km aliyopata jamaa.
 
Chezea watoto wa mjini wewe mwenzio kapata Kanjibai we mweusi utaonwa baba
 
Hilijamaa tapeli nimeliambia linipe jina kahuyo ma laya kauchuna mpelekee shigongo upuuzuwako huko siokila mtu unamdanganya tu
 

Pole mkuu.....ila ujue unaempenda akupendi na anaekupenda wewe umpendi vilevile.....yawezekana ushawah mtenda mschana mwingine kwa kujivunia uyo aliyekutenda na ndio maana yamekukuta
 
usichukie wanawake wote, wengine hawapo hivyo na inategemea ulimzoesha mazingira gani kama ulikuwa unatoa toa vilaki basii aliona vidogo huko kabata vimilioni, kingine huwenda ulijisahau sanaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…