Mwana Ilala JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 1,286 Reaction score 488 Dec 14, 2016 #1 Site ya Kujenga Mnara wa simu(available for LEASE) Iko na Grid Kubwa ya Umeme(High T. Power) Pia kuna Transformer papo hapo kwenye Site. Utakuwa umeokoa gharama za kujenga line Kubwa kwa ajili ya Ku-service Mnara. Site iko na Ukubwa wa Sqmtr: 1200 with a title deed. Site iko Ilala Buyuni, Chanika. Rent: Maelewano. Picha zinapatikana kwa Whatsapp. Karibuni.
Site ya Kujenga Mnara wa simu(available for LEASE) Iko na Grid Kubwa ya Umeme(High T. Power) Pia kuna Transformer papo hapo kwenye Site. Utakuwa umeokoa gharama za kujenga line Kubwa kwa ajili ya Ku-service Mnara. Site iko na Ukubwa wa Sqmtr: 1200 with a title deed. Site iko Ilala Buyuni, Chanika. Rent: Maelewano. Picha zinapatikana kwa Whatsapp. Karibuni.
Smokey D JF-Expert Member Joined Jan 30, 2013 Posts 2,632 Reaction score 2,115 Dec 14, 2016 #2 Nenda tigo vodacom halotel airtel itakuwa vyema