Sitakuja kujibizana na mke wangu kamwe

Safi sana...

Ingawa sometimes things might get out of the hand, mood zika change... Resolving issues in a peaceful manner its the best...


Cc: mahondaw
 
Hongera
 
Ok! time will tell. Hawa viumbe hawatabiriki omba Mungu Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejifunza kitu kimoja, ukiona argument inakuwa hot na hasira zinaanza kutawala, ukiongea nae anaongea, ukipandisha sauti nae anapandisha, nyamaza, usijibu kitu, unaweza kutoka nje ukafanya matembezi "yasiyo rasmi" ili kutuliza munkari, then ukirudi muongee

Ila ukipata mwanamke asiye na staha, mpayukaji, mropokaji na mwenye matusi, omba hekima na busara toka kwa Mungu. Sisi tuliobahatisha wanawake wasikivu na wastaarabu tukiwanyooshea mkono tutapata dhambi kubwa.
 
Naanzaje kupigizana kelele na mke?njia kuepuka yte ni kukaa kimya hat km unahasira kias gn
 
Na wanaume wanaojitambua huwa hawana muda wa kujibizana kabisaa.... Atanyamaza wee vikimlemea huyoo anaenda bar, au atakusikiliza weeee akilemewa utapata kibao cha uso baaasii....
 
Kupiga ina raha yake kidogo.Kuna dada nilipata kumsikia anaongea na jamaa fulani ,ngoja niwahi usinitafutie makofi kwa mume wangu bure.
Kofi moja la adabu linatia heshima
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
usipomkunja naye hujiona ni mfalme ndani ya nyumba.
Mfalme😱.

We ndoa yako utaiharibu mwenyewe. Ukali pasipo sababu ktk ndoa haufai. Lakini palipo na sababu shughuli anaipata.
 
Hongera mkuu ni jambo zuri hilo .

Tuwapende na kuwalinda wake zetu kama mboni za macho yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…