Ndo sio rahisi kiasi hicho, kuna mambo mwenzako akifanya unatamani uondoke nyumbani wiki nzima ukirudi hasira zimepungua, usiseme hutajibishana nae labda useme utajitahidi usimpige hilo ndo jambo la maana.Mke ni ni tulizo la moyo ndani ya familia,ni kweli kuna wakati anakosea na unatamani umpige lakini usipomkunja naye hujiona ni mfalme ndani ya nyumba.
Itoshe kusema ukiwa na mke wako jambo lolote utakalomwambia afanye atalifanya kwa kuwa anajua yeye ndiye mwenye hati miliki.
Nitaendelea kumlinda na kumheshimu mke wangu kamwe sitajibizana na kumrushia maneno mithili ya korea na marekani
Sometimes inapendeza zaidi akielekezwa kwa kipigo heavy
[emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji15] [emoji15]Kumpa kipigo cha nguvu siku moja moja siyo mbaya
Haipunguzi maumivu ila inaongeza heshima ndani
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] mbona kicheko na mshangao kwa pamoja[emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji15] [emoji15]
Aiseee kuna wanawake wanakera sana na njia nzuri ya kuleta heshima ni kipigo. Sijazungumzia kuhusu poor imaniHapana kumpiga haisaidii rafiki. Tuachane na poor beliefs! kwamba kumpiga mwanamke ndo eti unampenda..
Mahondaw wa Smart911
Hakuna njia nyingine mpaka kumpiga???
Ukimpiga sanasana unamjengea sugu kitu ambacho si kizuri
Mahondaw wa Smart911
Kwahiyo ukimpiga ndo anakuheshimu?? No, hakuheshimu bali anakuogopa. Mnakua kama mhalifu na police sasa. Haipendezi rafikiAiseee kuna wanawake wanakera sana na njia nzuri ya kuleta heshima ni kipigo. Sijazungumzia kuhusu poor imani
Inapendeza sana iyo kitu mahondaw yani ata kwa mwaka mara moja siyo mbayaKwahiyo ukimpiga ndo anakuheshimu?? No, hakuheshimu bali anakuogopa. Mnakua kama mhalifu na police sasa. Haipendezi rafiki
Mahondaw wa Smart911
Hizo ngumi jiwe...!!![emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] mbona kicheko na mshangao kwa pamoja
Ziko wap [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Hizo ngumi jiwe...!!!
sent from motorola bapa and nokia jeneza