Sitaki!!!

sitaki kuona watu wanakataa maovu wa serikali kwa maneno lkn kimatendo wanawapigia kura..sitakiii....
 
sitaki wananchi wanaosubiri serikali ifanye majukumu ya kimaendeleo wakati wao pia wana uwezo wa kufanya hivyo.
 
sitaku kuona wauwaji wanaachiwa huru kwaajili ya uzembe wa prosecutor
 
Sitaki kusikia mtu anailalamikia serikali kwa maisha yake mabovu wakati huohuo anamiliki smart phone na data za kuingia mitandao ya kijamii na kuharisha.

Ajiulize yeye kaifanyia nini serikali yake?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…